
VYAKULA Infografiki hii inazungumzia vyakula katika Uislamu ikiweka wazi vyakula vya halali na vya haramu. Pia imegusia kubainisha sheria za kula wanyama na mambo yanayohusiana na wanyama ikiwa ni pamoja na uchinjaji na uwindaji kwa utaratibu wa kisheria.
© 저작권 이슬람교 أرض الإسلام . 판권 소유 2017